Watumia dawa ombeni msamaha jukwaani

kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
13,428
13,936
Nadhani TID hatafikishwa tena mahakamani kwa kosa la kutumia madawa baada ya kuwaomba msamaha wananchi hadharani. Nyie watumiaji wengine mnasubirini nini kufanya kama alivyofanya mwenzenu shujaa TID?
 
Mungu amsaidie TID kwani ni kijana mwenye kipaji kikubwa,yule ndugu yake (nae mwanamuziki)aliyedai anarogwa na TID kajichimbia wapi maana nae ni teja.
 
Nadhani TID hatafikishwa tena mahakamani kwa kosa la kutumia madawa baada ya kuwaomba msamaha wananchi hadharani. Nyie watumiaji wengine mnasubirini nini kufanya kama alivyofanya mwenzenu shujaa TID?

Ndio sheria inasema hivyo?
 
Yaani dawa atumie yeye, aumwe yeye, ila aje kutuomba msamaha sisi kwani ametuibia?
 
Hawa hapa
 
Attachments

  • FB_IMG_1483696344892.jpg
    FB_IMG_1483696344892.jpg
    52.1 KB · Views: 23
Back
Top Bottom