real G
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 5,227
- 5,287
Watuhumiwa waliokamatwa na almasi Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere wafikishwa mahakama ya Kisutu leo.
Almasi hiyo ilikamatwa siku tarehe 31/08/2017 na ilikuwa ikisafirishwa na shirika la ndege la KLM kwenda Uturuki
Almasi hizo zilikuwa zinatoka katika mgodi wa Mwadui Shinyanga ambapo serikali ina ubia na kampuni ya Petra Diamonds ya Afrika Kusini
Mzigo huo ulithaminishwa kuwa na thamani ya shilingi bilioni 32 za Kitanzania ila baada ya kuthaminishwa upya thamani yake ikakutwa ni takribani shilingi bilioni 65
Chanzo: Mwananchi