Watuhumiwa mauaji ya bilionea Msuya kuna uwezekano kuachiwa huru na Mahakama

Me sifaham sheria na c mwanasheria wenye uelewa watusaidie, kwani ushauri wa wazee wa mahakama Jaji lazima aufuate? na hao wazee hua wamesomea sheria au huwa wanachukuliwaga wazee wenye busara?
 
All in all aliyeuliwa alishakufa hakuna kitakachobadilika hata wakifungwa miaka buku: wauaji wanajua walichokifanya kama ni kuua walishaua, hata wafungwe miaka buku haitobadili matokeo ya kile walichokifanya!

Siku zote maisha ya viumbe hai hukoma pale uhai unapotwaliwa; kitendo cha kuua kimekatazwa na Mwenyenzi Mungu hivyo mtu akiua ni juu yake na mola wake japo zipo dhambi zinazoambatana na laana.

Tukubaliane na hukumu itakayotoka; kwasababu hata tukilalamika hukumu haitobadilika zaidi utakuwa unajiongezea maumivu ya moyo.

Kesi kama hii mara nyingi bora kumwachia Mungu kwasababu wakati mwingine Mungu huruhusu jambo baya juu ya mtu kupitia watu. Kama sisi Wakristo tunavyoamini juu ya mateso na kifo cha Bwana Yesu msalabani. Wale watu waliomsulubisha Yesu Kristo huwa hatuzungumzii ubaya wao au kosa lao kwasababu hiki kifo ni mpango wa Mungu. Huwa tunasifu na kufurahia mateso yale na kifo chake msalabani. Baadhi ya matukio huwa yana kibali mbinguni na hutokea kwasababu flani....
 
Hawa wazee wa Baraza ( assessors) wanatajwa katika kifungu cha 266 cha sheria ya mwenendo wa kesi za jinai( criminal procedure Act )ya 1967 kama ilivyorekebishwa mwaka 2002)Hawatakiwi kuwa mawaziri,wabunge,viongozi wa dini,wanajeshi,maafisa wa magereza, majaji,mahakimu,polisi,mawakili nk,kiujumla wanatakiwa kuwa watu wa kawaida wanaoheshmika.Ushauri wao siyo lazima jaji au hakimu aufuate bali lazima aupime kulingana na ushahidi alionao na sheria inasemaje.Wakati mwingne nao wana asses ushahidi na kupitia njia ambazo jaji au hakimu atapitia.Kama wakishauri vibaya jaji anaupiga chini ila wakishauri vizuri hana pa Ku UI kwepea.Refer kesi ya Jamuhuri v. Elizabeth Michael alias Lulu.
 
Lazima haki itendeke na ionekane ikitendeka.Kama ukithibitika uliuwa kwa makusudi sheria inakutaka unyongwe hadi kufa,hiyo ni Penal code sections 196 na 197.
 
Hoja za kijinga sana za huyo mzee sijaona hoja hata moja inayoweza kufifisha ushahidi upande wa jamhuri.Kwa mfano eti hakuna shahidi hata mmoja ktk guest ya Sharifu aliyetoa ushahidi!!Hivi unafikiri Jamhuri ni wajinga kiasi gani waache gape au loop holes kiasi jicho???
 
Beyond reasonable doubt (BRD)
Hoja za kijinga sana za huyo mzee sijaona hoja hata moja inayoweza kufifisha ushahidi upande wa jamhuri.Kwa mfano eti hakuna shahidi hata mmoja ktk guest ya Sharifu aliyetoa ushahidi!!Hivi unafikiri Jamhuri ni wajinga kiasi gani waache gape au loop holes kiasi jicho???
 
Hawa wazee wa Baraza ( assessors) wanatajwa katika kifungu cha 266 cha sheria ya mwenendo wa kesi za jinai( criminal procedure Act )ya 1967 kama ilivyorekebishwa mwaka 2002)Hawatakiwi kuwa mawaziri,wabunge,viongozi wa dini,wanajeshi,maafisa wa magereza, majaji,mahakimu,polisi,mawakili nk,kiujumla wanatakiwa kuwa watu wa kawaida wanaoheshmika.Ushauri wao siyo lazima jaji au hakimu aufuate bali lazima aupime kulingana na ushahidi alionao na sheria inasemaje.Wakati mwingne nao wana asses ushahidi na kupitia njia ambazo jaji au hakimu atapitia.Kama wakishauri vibaya jaji anaupiga chini ila wakishauri vizuri hana pa Ku UI kwepea.Refer kesi ya Jamuhuri v. Elizabeth Michael alias Lulu.
Thanx Mkuu kwa ufafanuzi wako mzuriii nimeelewa sana tena sana!!
 
All in all aliyeuliwa alishakufa hakuna kitakachobadilika hata wakifungwa miaka buku: wauaji wanajua walichokifanya kama ni kuua walishaua, hata wafungwe miaka buku haitobadili matokeo ya kile walichokifanya!

Siku zote maisha ya viumbe hai hukoma pale uhai unapotwaliwa; kitendo cha kuua kimekatazwa na Mwenyenzi Mungu hivyo mtu akiua ni juu yake na mola wake japo zipo dhambi zinazoambatana na laana.

Tukubaliane na hukumu itakayotoka; kwasababu hata tukilalamika hukumu haitobadilika zaidi utakuwa unajiongezea maumivu ya moyo.

Kesi kama hii mara nyingi bora kumwachia Mungu kwasababu wakati mwingine Mungu huruhusu jambo baya juu ya mtu kupitia watu. Kama sisi Wakristo tunavyoamini juu ya mateso na kifo cha Bwana Yesu msalabani. Wale watu waliomsulubisha Yesu Kristo huwa hatuzungumzii ubaya wao au kosa lao kwasababu hiki kifo ni mpango wa Mungu. Huwa tunasifu na kufurahia mateso yale na kifo chake msalabani. Baadhi ya matukio huwa yana kibali mbinguni na hutokea kwasababu flani....
Umemaliza yote ndugu yangu nadhan huu ndo ukweli kabisa, hapa ni kumuachia Mungu tu maana wenye pesa walisha fanya yao, mahakimu, polisi na wapelelezi wengine najua sauti na akili zao zimo mifukoni mwa wenye pesa, Mwenyezi Mungu ndiye atajua la kufanya.
 
Hata mahakama ikiwaachia muda huo wanarukiwa fasta na case inaanza upya mana DCI ndio aliwakamata akiwa rpc moshi
Acha uongo, mahakama iwaachie huru kwakutokutwa na hatia halafu police iwakamate tena? Kwani wanaachiwa kwa 91A au 225? Au judgment ndio inawakuta hawana hatia? Upande wa jamhuri kama hawatoridhika na hukumu wana haki ya kukata rufaa,
 
Hawa wazee wa Baraza ( assessors) wanatajwa katika kifungu cha 266 cha sheria ya mwenendo wa kesi za jinai( criminal procedure Act )ya 1967 kama ilivyorekebishwa mwaka 2002)Hawatakiwi kuwa mawaziri,wabunge,viongozi wa dini,wanajeshi,maafisa wa magereza, majaji,mahakimu,polisi,mawakili nk,kiujumla wanatakiwa kuwa watu wa kawaida wanaoheshmika.Ushauri wao siyo lazima jaji au hakimu aufuate bali lazima aupime kulingana na ushahidi alionao na sheria inasemaje.Wakati mwingne nao wana asses ushahidi na kupitia njia ambazo jaji au hakimu atapitia.Kama wakishauri vibaya jaji anaupiga chini ila wakishauri vizuri hana pa Ku UI kwepea.Refer kesi ya Jamuhuri v. Elizabeth Michael alias Lulu.
Leo nimeamini ushauri wako mkuu, inaonekana ni kweli Judge ameupiga chini ushauri wa wazee wa Baraza!!
 
Huyu mwandishi Ma kichwa Cha Habari Yake mbona vipo tofauti Na ukweli kwamba baadhi au wengi wa watuhumiwA wamehukumiwa kifo
 
nyari alitoboa kwenye rufaa hawa nao wanaweza ila familia ya marehemu wanafatilia kila hatua hadi baadhi yao hulia pale mambo yanapoenda kinyume na matarajio yao. tusubiri hii ligi bado mbichi
 
Wazee wa baraza wamelamba mshiko ila damu ya mtu itawarudia tu,kupigwa kwa watuhumiwa kwenye mahojiano ni kawaida.
Watuhumiwa hata wakiachiwa watarukiwa tena hapohapo mahakamani na kesi kuanza upya

Mkuu kwa huu ushahidi mahakama ya rufaa hanyongwi mtu, sana sana labda wawili. Huu ushahidi umeegemea kwenye kukiri washitakiwa na kinadharia mno. Jaji Salma Maghimbi nahisi ameamua kunawa mikono maana angeweza kuonekana alivuta mlungura.
 
Back
Top Bottom