Watu Zaidi ya 5000 wapiga picha wakiwa uchi

Watu Zaidi ya 5000 wapiga picha wakiwa uchi

Hakuna starehe kama kukaa uchi,mimi nikiwa home huwa napenda sana kukaa uchi ila kutokana na tabia za kiafrika ina bidi ujisitiri kidogo ili usionekane mwehu!
 
naona na wazee kabisa na mvi zao wapo hapo, sasa dunia ndo inaishia hivyooo
Dunia inaishaje kwa mfano. Ulizaliwa bila mavazi.Hao wanavuta kumbukunbu jinsi walivyokuja duniani bila mavazi unasema dunia inakwisha.Acha Utani
 
Apo ndo nawakubarigi IS au Alqaeeda yan apo wangekula vichwa kadhaa kwa ubedhuri wa hawa watu
 
ila hawa majamaa hawana vitambi wala vyura ingekuwa mtu mweusi pangenoga kidogo
 
Shame on them ..isitoshe wapo hapo wazee vijana ila cjaona mtt akini c jambo LA nzuri kumwaga radhi pasipo na sababu za msingii
 
Naona wachawi nako wanataka haki wamechoka kujipaka madawa ili wasionekane
 
..duh..hawa mademu wote nini!!!maana sioni mizigo ya mapu.mbu..au dhakar...
 
Mbona ni vidushe na vipapuchi havionekani
 
Back
Top Bottom