Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,459 Reaction score 872,120 Dec 25, 2014 #2 Mulemule tunaachana njia panda tu lakini kwetu kumoja
M makubazi JF-Expert Member Joined Feb 15, 2013 Posts 2,047 Reaction score 365 Dec 25, 2014 #3 Mi naona kwa masikini tu na siyo kwa matajiri na hata matibabu yao huwa india
D Dafugwadu JF-Expert Member Joined Dec 24, 2012 Posts 4,752 Reaction score 5,317 Dec 25, 2014 #4 makubazi said: Mi naona kwa masikini tu na siyo kwa matajiri na hata matibabu yao huwa india Click to expand... Kwa hiyo matajiri hawafi? Na wakifa wanapaa si ndio maana yako?
makubazi said: Mi naona kwa masikini tu na siyo kwa matajiri na hata matibabu yao huwa india Click to expand... Kwa hiyo matajiri hawafi? Na wakifa wanapaa si ndio maana yako?
Victoire JF-Expert Member Joined Jul 4, 2008 Posts 25,049 Reaction score 60,246 Dec 25, 2014 #5 hiyo ya kufa haimati,kinachomatter ni maisha hapa duniani,kwanza ukifa hata haujijui
M makubazi JF-Expert Member Joined Feb 15, 2013 Posts 2,047 Reaction score 365 Dec 25, 2014 #6 Victoire said: hiyo ya kufa haimati,kinachomatter ni maisha hapa duniani,kwanza ukifa hata haujijui Click to expand... Swadakta na nimekupata vizuri tu isipokuwa mi nilitaka kutingesha kiberitey tu 7
Victoire said: hiyo ya kufa haimati,kinachomatter ni maisha hapa duniani,kwanza ukifa hata haujijui Click to expand... Swadakta na nimekupata vizuri tu isipokuwa mi nilitaka kutingesha kiberitey tu 7