Watu weusi tuna shida Sana (Mindsets)

Unadhani ni kwanini huko waliweka hiyo sheria kua lazima uwe na haiba za kike??
 
Sababu ni mpira wa miguu ya wanawake ni lazima waweke utambulisho wa ukike
Good Mkuu. Sasa kwanini sisi watu weusi tunaweka utambulisho wa kiume wakati mpira ni wa miguu wa wanawake? Jibu nini MINDSETS kama Uzi unavyosema.
 
Kweli wanasoka wa kike kwa Afrika ni majanga. Na wanaongoza kwa kujihusisha na usagaji. Timu ya SA imejaa wachezaji waliooa wanawake wenzao.
Mkuu umejuaje kama na wao wachezaji wa Ulaya nawao hawajiusishi na tabia hizo?
Usiangalie Muonekano ata wazungu wapo kama wanaume kabisa na tabia za usagaji wazungu ndiyo wenyewe kwenye Mambo hayo tena kuwatambua kwa muonekano ni vigumu ila kwa uku Kwetu wasagaji inakua rahisi kutokana na Muonekano wao tofauti na wenzetu wazungu wao unaweza kuwaona marafiki wapo pamoja na wote wazuri tena pisi kali lakini kumbe ni mke na mume. Wazungu wasagaji kuwajua kwa muonekano ni ngumu.
 
Unabisha ujinga
 
Unabisha ujinga
We unaongea vitu usivyo vijua, Mambo ya usagaji Ulaya ndiyo penyewe kabisa, kwakua wewe ni mgeni wa wazungu au hujawahi kufanya kazi sehemu ambazo zina hudumia wazungu kutoka nchi mbalimbali ungejifunza Mambo mengi, kwasisi tulifanyaga kazi na sehemu za wazungu tunaona usagi Tanzania bado tupo nyuma na bado wageni wa Mambo ya kidunia tena kwenye Mambo ya kimahusino.
 
Ukweli mnaujua ila mnajitoa tu ufahamu hayo yote mmeyataka watu weusi wenyewe wazungu wala hawahusiki, kumbukeni huko kwa wenzetu hakuna kazi za kiume wala za kike ndio maana mtu yeyote anaweza kufanya kazi yoyote na akawa na haiba ya jinsia yake, ila huku kwetu jamii nyingi ziliweka tamaduni kuwa kazi ngumu ngumu ziwe za kiume na nyepesi nyepesi ziwe za kike

Kwahivyo wanawake wengi wenye haiba ya kike hawawezi kufanya kazi za kiume kwa kuhofia wataonekanaje, hao wacheza mpira ambao ni matomboy siyo mpira uliowafanya wawe hivyo bali ndio uhalisia wao hata wasingekuwa wacheza mpira bado wangekuwa matomboy, ila wameona kama mpira ndio moja ya kazi za kukimbilia zinazoendana na haiba zao sababu ni moja ya kazi zinazoonekana ngumu ngumu na za kiume tu

We angalia hata kwenye tasnia ya uanamitindo kiujumla ilishaonekana kama ni kazi ya kike ila huko kwa wenzetu wanaume wanaweza wakaifanya na wakawa na haiba za kiume kama kawaida, huku kwetu wanaume wengi wanamitindo ni mashoga na wanajiweka kikekike na siyo hiyo kazi iliyowafanya wawe hivyo bali huo ndio uhalisia wao, ila wakakimbilia kwenye moja ya kazi zinazoendana na haiba zao kwahiyo wala tusiwalaumu hao watu bali tulaumu tamaduni zetu na ikiwezekana elimu itolewe upya kwa hivi vizazi vya leo na vijavyo ili wabadili hiyo mitazamo
 
Safi sana Mkuu umeelezea vizuri Sana kazi ipo kuelimisha jamii ya watu weusi.
 
Kuna dhambi kuzidi ya kumwaga mabomu na makombora Kwa binaadamu wengine.HATA MINDSET YAKO INA MATATIZO PIA.
 
Kuna dhambi kuzidi ya kumwaga mabomu na makombora Kwa binaadamu wengine.HATA MINDSET YAKO INA MATATIZO PIA.
Watu weusi tumekosa tu hayo makombora mbona tunge yamwaga Sana hatuna tu technology tungeua Sana tungeuwana sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…