Kwani jamaa anataka apewe nini?Pale jela inapokuwa inamuita mtu, utawajua tu View attachment 969475
Mimi bado mdogo,unazidi kunichanganya tu hapo!!Kitumbua eti!!!!
Na ndio salama yenu.Embe bichi sigusi kabisa na chumvi mbichi ina madhara kwa afya.
Kwa sisi tunaoupenda Uzee Uliotukuka.
VPale jela inapokuwa inamuita mtu, utawajua tu View attachment 969475
Nikweli Ila Inategemeana na msingi wa malezi yako mkuuOmba sana ujana upite Salama, ni kipindi chenye changamoto sana hasa kama haujielewi
huyu jamaa anabeti maisha yakePale jela inapokuwa inamuita mtu, utawajua tu View attachment 969475
This has been my principal!! Mambo ya kuchubua dushe ili iwejeHata makampuni makubwa wanapotangaza nafasi za kazi husema wanataka wenye uzoefu kadhaa. Sasa hivyo vichenchede hata uzoefu havina isipokuwa kuleteana matatizo. Tafuta kurukwekwe lililokomaa unabimbilishana nalo weee ukitoka hapo umeshiba