Watu wenye iPhone wanafaidi sana

Na ndio maana nchi nyingine watu wanauza figo ili wanunue iPhone

Huwakuti wanauza figo ili wajenge

Yani ni watu fulani hivi wanaopenda sana maisha ya kujionesha (japo wapo walio smart ila wengi wao)
[emoji1787]
 
Samsung galaxy s23 ultra umeiona ww?

Mpaka battery imeizidi hiyo aifoni 13
 
Mwaka gani? Huko mjini wanauza pixel za nyuma sana na bado camera umeme,huez fananisha algorithm ya pixel camera na simu yoyote

Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Nina jamaa ana pixel 4xl mpaka sasa inatafuta mwaka wa pili kila kitu jau tu kwake
Mpaka anamshinda aliye na iPhone 7 ni version ya kitambo sokoni lakini bado moto

Iphone ni simu hizo zingine ni vifaa vya mawasiliano
 
Nina jamaa ana pixel 4xl mpaka sasa inatafuta mwaka wa pili kila kitu jau tu kwake
Mpaka anamshinda aliye na iPhone 7 ni version ya kitambo sokoni lakini bado moto

Iphone ni simu hizo zingine ni vifaa vya mawasiliano
Kwaiyo kesi ya jamaa yako ndio ina generalize pixel zote? Kaangalie smartphone blind test ya MKBHD utaelewa pixel anafanya nini,hujiulizi why hata developers hawaport camera za OEM wengine kama wanavyo port Gcam ya google[emoji1],, Iphone 7 haiwezi Kimbiza pixel 4xl kweny camera,kaangalie camera specs gsmarena, tatizo mtu ananunua refurbished na unategemea kwa 100% isikusumbue? Unajua mafundi wa iphone wanavyopata shida ku reball iphone refurbished? Mzee nyamaza tu.

Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
 
Achana nae huyo
 
Mbwa [emoji1787]
 
Ndugu yangu utakuwa Huna akili unanua pixel 4xl refurbished kweli? Na sidhani kama zipo sokoni au sababu sio favorite yangu hata kuifuatilia BIG NO
 
Huyu kwenye simu ameangalia battery tu, but kwenye simu watu wana view zaidi ya battery
Wengi wanaangalia camera,storage n.k hapo kwenye battery simu nyingi zipo vizuri

Iphone yenyewe siku hizi hakuna kutembea na power bank
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…