Mkuu, kuna malezi, elimu, ustaarabu)mf. kuthamini kitu cha jumuia kama kitu chako mwenyewe hivi vina mattter sana katika maisha ya kila leo mf.
-Watu kupenga kamasi au kutema tema mate wakati wengine wakila.
-Kuchana chana/kuandika viti vya kwenye magari hasa daladala n.k
nadhani, ustaarabu haufundishwi..mara nyingi hutokana na makuzi, hivyo basi hata kama mtu fulani asipokwenda shule bado aweza kuwa mstaarabu tu, tuwafundishe watoto na wajukuu wetu.