Watu wengine sijui wanafikiria nini?

kansije

Member
Joined
Sep 16, 2010
Posts
50
Reaction score
10
Huyu Jamaa mwenye hii pub sijui alifikiria nini kuipa jina la kimyakimya

 
Hii mbona km vile li'pub' flan pale karatu karibu na ofisi ya mkuu wa wilaya!?
 
hiyo ya ukweli, hata wahudumu hadi mke wa bosi we ukimtaka unamalizana nae kimyakimya.
 
ha ha ha ha dah, yo very smart..

heading kakosea na ndani tena kakosea.....

kuna maneno mengine ukikosea unaweza kuharibu kabisa maana uliyokusudia kutoa kwa hadhira yako
 
Anamaanisha hata vbaka wakiwavamia hakuna kupga kelele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…