Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 10,659
- 20,072
Dah! Ivi Ni Kweli mkeo alikuachia mkuu?Bora ww Demu mimi wife kabisa ,kuyumba kidogo kalipuka kasepa na vitu vyote
Dah! Ivi Ni Kweli mkeo alikuachia mkuu?Bora ww Demu mimi wife kabisa ,kuyumba kidogo kalipuka kasepa na vitu vyote
Pole aiseeBora ww Demu mimi wife kabisa ,kuyumba kidogo kalipuka kasepa na vitu vyote
Hii he hatariDah! Ivi Ni Kweli mkeo alikuachia mkuu?
Yes kiongoziDah! Ivi Ni Kweli mkeo alikuachia mkuu?
AsantePole aisee
Acha maumivu yake hayaelezeki. Bado namkumbuka sana week ya pili sasa .Dah! Ivi Ni Kweli mkeo alikuachia mkuu?
Mfano kazi ganiKuna kazi zngine ukiachana nazo unapata amani ya moyo kbisa
Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Pole Sana ndugu yangu,,, ila Hawa viumbe Wana maajabu Sana.Acha maumivu yake hayaelezeki. Bado namkumbuka sana week ya pili sasa .
Asante sana mkuu.Pole Sana ndugu yangu,,, ila Hawa viumbe Wana maajabu Sana.
InasikitishaAsante sana mkuu.