Watu wengine hamnazo!

Hahahaha...anamchukulia poa, kama katuni..lol!!
 
Hahahaha...anamchukulia poa, kama katuni..lol!!

Huyo kaamua kujitia wazimu, atakutana na mchina ambaye amevurugwa kwenye ghorof analosimamia atampa mbili za chembe hadi akili imkae sawa..
 
Ngoja siku afanye hivyo kumbe mchina katoka kuibiwa simu dakika chache zilizopita !!
 
Hawa ndo akitoka kuangalia muvi ya anold anapita mtaani ametanua mikono kama ana majipu makwapani kisa anajiona nae ni anold...

...na akitoka kuangalia za kihindi utamsikia anaimba 'masongi' kutwa nzima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…