baba hajavaa katoto nako kako wazi,
sijui mnalalaje humo ndani.
Duh angali kitumbo chake kama bumps
Kula kitu roha inapenda.
Huyu mimi ninamuhisi Atakuwa ni Kabila lake ni Mhehe au Mbena Mtu wa IRINGA AU nj'ombe atakuwa anakunywa Pombe ya Kienyeji iitwayo kwa jina ni Pombe ya Ulanzi . hhahahahahahahahah