Watu wengine, bia mbili tu aibu

Salamander

JF-Expert Member
Dec 7, 2012
28,538
15,739

1c0968958e2f00a31a2f26d3b04f50ed
 
Kuna mwanangu mmoja tukienda kupiga masanga tunamkimbia, manaake yeye anamimina haraka haraka dakika 10 gari lishawaka vibaya.
 
Wako wengi wa hivyo mkuu , baada ya hapo ni kichina kwenda mbele.

Huyu mjomba yeye anakuwa kichaa kabisa, halafu anakuwa na energy sijui inatoka wapi na ukimuuliza kesho hakumbuki hata moja tena anakuwa mpole utamuonea huruma.
 
Daaahh balaa hii Kugambeka si mchezo,Kwa hali hii kwanini wenzako wasikukane na kukukimbia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom