Muhudumu anataka nimnunulie Savana wakati mimi natumiaa local bia

dr namugari

JF-Expert Member
Nov 19, 2022
9,402
15,981
Niko napoteza siku na mpira wa man u hapa na AFCON Sasa mhudumu anae nihudumia nikaona nimpe nae ofa ya bia mbili eti badala ya kutumia local bia yeye ananiambiwa huwa anatumia Savana au Heneiken na pia boss wao hataki kuwaona wanatumia local bia nikamueleza embu tulia kwnza

Sasa mimi nakandamiza Kilimanjaro lager yeye antaka mimi nimlipie Savana mbili kwa elf 8000 kitu ambacho sifanyagi January kabisaa

Hoja

Naomba wahudumu muache kujipandisha madaraja na viwango na kuonekana Kama mnazimudu Bei za bia za nnje wakati uwezo wenu Ni kunywa cucar au highlife

Siwezi kununua Savana wakati mimi napiga kili Lager Kisha nizindikize na kisicha Cha nyagi wee unataka Savana na Heneiken haipo hiyo

Kwanza kademu kenyewe Ni kafupi Kama mtungi wa orxy
 
Niko napoteza siku na mpira wa man u hapa na afcon Sasa mhudumu anae nihudumia nikaona nimpe nae ofa ya bia mbili eti badala ya kutumia local bia yeye ananiambiwa huwa anatumia Savana au heneiken na pia boss wao hataki kuwaona wanatumia local bia nikamueleza embu tulia kwnza

Sasa mm nakandamiza Kilimanjaro lager yeye antaka mm nimlipie Savana mbili kwa elf 8000 kitu ambacho sifanyagi January kbsaa

Hoja

Naomba wahudumu muache kujipandisha madaraj na viwango na kuonekana Kam mnazimudu Bei za bia za nnje wakt uwezo wenu Ni kunywa cucar au highlife

Siwezi kununua Savana wkt mm napiga kili Lager Kisha nizindikize na kisicha Cha nyagi wee unataka Savana na heneiken haipo hyo

Kwanza kademu kenyewe Ni kafupi Kam mtungi wa orxy
Amekutajia kinywaji anachokunywa yeye, na sio unachokunywa wewe.

Kila mmoja na chaguo lake. Kama mfuko hauruhusu, basi mkaushie tu mkuu.
 
Kawaida mkuu. Hapo anapima kama una pesa au walewale. Anajua unamtaka

Wanawake wanatumia hiyo njia kupunguza foleni ya wanaume. Kuomba vitu vya gharama kuliko maisha yao.

Ukitaka kujua thamani yake angalia

1. Msuko aliosuka au nywele alivyoziweka
2. Perfume anayotumia
3. Vito alivyovaa, kama cheni, hereni,saa n.k
4. Simu anayotumia
5. Jinsi anavyoongea. Mstarabu au ana maneno ya kiswahili

Ukiona havilingani na anachotaka kunywa ujue ni limbukeni. Achana naye huyo ni chuma ulete.
 
Achana na kuwanunulia au waulize kabla ya kutoa offer.

Ajabu ni kuwa, mpaka mhudumu wa kiume, ukimpq offer ya bia 2, anakuletea bill ya sh 10,000 kwa bia zake, kaandika Corona beer....pumbavu!
 
Back
Top Bottom