Watu wengine bana!

kasukububu

Member
Joined
Jan 9, 2013
Posts
63
Reaction score
25
Eti utakuta kidume kimemuwekea dem/mke wake mitego kibaaaaooo,mashushushu kibaaaooo,lakin akimfumania hana ubavu wa kumuacha.
Sa anajisumbua nn?
 
hakika ni upuuzi mkubwa..!!
 
Bora mimi wa kwangu nimemtega,akiduu tu wanagandana.
 
Tungekuwa tunawekea mashushushu vitu vya msingi tungekuwa mbali sana kimaisha.
 
Eti utakuta kidume kimemuwekea dem/mke wake mitego kibaaaaooo,mashushushu kibaaaooo,lakin akimfumania hana ubavu wa kumuacha.
Sa anajisumbua nn?

Duuuuuuh! Ni dongo au...nadhani akija huku litamvaa kisawasawa
 
Yani kusema kweli hiyo tabia inakeraaaaaaaa!!!!. Hivi kama humuamini mtu si umuache tu, ya nini kumuwekea mashushushu? Ukimchunga ndo unadhani hatocheat? Muache mtu ajichunge mwenyewe. Kama anakupenda kwa dhati hatokusaliti. Ila kama hana muda na wewe mbona utamfunga hata na kufuli huko chini but still wajanja watamgegeda tu, tena usikute hata hao mashushushu wanapewa papuchi so wanakudanganya tu ooh hana mtu, kumbe wanajilia wenyewe taratibuuu. TUAMINIANE!!!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Eti utakuta kidume kimemuwekea dem/mke wake mitego kibaaaaooo,mashushushu kibaaaooo,lakin akimfumania hana ubavu wa kumuacha.
Sa anajisumbua nn?

Anataka kujuwa kiasi gani anaweza kuvumilia kugawana na wengine.
 
Tungekuwa tunawekea mashushushu vitu vya msingi tungekuwa mbali sana kimaisha.

Kuna cha msingi zaidi? Unatafuta elimu, kazi njema, biashara ya faida ili upate hicho kitu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…