Watu wengi walio katika ndoa si chaguo lao sahihi

Watu wengi walio katika ndoa si chaguo lao sahihi

Sasa kama sio machaguo yao sahihi wanaoana vipi.[emoji44]
Sababu ni nyingi
Pesa
Matako
Utundu kitandan
Elimu
Umaarufu
Wazazi koforce
Baadhi kukwepa kaz za ndan eti anaoa afuliwe apikiwe nk..upuuz
Wokovu wakidhan walokole hawana mapungufu
Kufata mkumbo
Mimba za bhat mbaya
N.k
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom