chumanile
JF-Expert Member
- May 20, 2018
- 300
- 342
Habari jf.poleni na majukumu ya mchana kutwa.wakuu hua najiuliza sana kwa nini ndoa siku hizi azidumu?tatizi liko wapi?maisha magumu?anasa,utandawazi ndio unao tufanya tuwe hivyo?
Uchunguzi ulio Fanywa na wana ndoa wenyewe ni!"asilimia 90%ya walio OA sio changua lao no 1.ndo kisa cha kuvunjika ndoa nyingi.pia MTU bachera,humakini wake mdogo KATIKA ufanyaji wa kazi.
Toa maoni mtazamo wako juu hili.