Apo sasa, nikafkiri KURAMimi nitapiga KULA na nitaichagua SHISHIEMU
😁😁😁😁Mimi nitapiga KULA na nitaichagua SHISHIEMU
Sio kupiga kura hata uchaguzi wenyewe hautakuwepo bila mabadilikoKwa mtazamo wangu, Watu Wengi Hawato piga kura, Watakao jitokeza Wengi ni wapiga kura wapya.
Kama Mimi Binafsi Sina Nia ya kupiga kura maana Mgombea wangu atashinda alisikika mzeee Mmoja akiongea.
Hii ni Hadithi ya mwaka 20468483.
Na Wala hatuhitaji hao nyumbu wakapige, sisi wananchi wenyewe tunatosha.Kwa mtazamo wangu, Watu Wengi Hawato piga kura, Watakao jitokeza Wengi ni wapiga kura wapya.
Kama Mimi Binafsi Sina Nia ya kupiga kura maana Mgombea wangu atashinda alisikika mzeee Mmoja akiongea.
Hii ni Hadithi ya mwaka 20468483.