Weltmeisterschaftung
JF-Expert Member
- Aug 27, 2014
- 364
- 250
Ona kwanza
ulivyotoa macho...unashangaa nini sasa?!! Kwani hujui kwamba "siri" ni
ya mtu mmoja wakizidi sana wawe wawili tu baaass, sasa hizi sehemu zetu
tunazoziita kuwa ni za siri ni watu wangapi wanazozijua mpaka sasa?!!!
ni wewe mmoja tu au wawili (na mwenza wako), kama hadi mchepu wako naye
anazijui tayari, ni watatu hao na zime-disqualify tena kuwa za siri!!!
YANGU NI HAYO TU!!!
cc:miss chagga,matola,miss nerdy,watu8,lara1.
Joining date haina uhusiano na alichoposti...he actually has a point..Join Date : 27th August 2014
Posts : 33
Rep Power : 308
Likes Received 9
Likes Given 0
ACHA KUKURUPUKA NA KUANDIKA NON-SENSE THREAD
Naijua mm tu, uongo?!!!mm yangu bado ya siri na hata wa pili haijuiiiiii
Basi tuite viungo nyeti!! Badala ya sehemu za siri
Mie naona tuviite viungo vya uzazi badala ya sehemu za siri..coz sio vya siri tena. Naenda kuoa huku nishavuana na watu ishirini, vina usiri gani, au kwa vile tunavivalia chupi?..teh!kwa hiyo tuviiteje sasa? ila vitabaki kuwa vya siri kwa sababu havikai wazi
kwa hiyo tuviiteje sasa? ila vitabaki kuwa vya siri kwa sababu havikai wazi
Mie naona tuviite viungo vya uzazi badala ya sehemu za siri..coz sio vya siri tena. Naenda kuoa huku nishavuana na watu ishirini, vina usiri gani, au kwa vile tunavivalia chupi?..teh!
Basi sawa
wewe zako ni siri?!!!
Za jumuiya