ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,314
- 41,064
Ndiyo nani huyo?
Ni dada yake na binti kiziwi.Ndiyo nani huyo?
Kumbe πNi dada yake na binti kiziwi.
Kwenye siasa, watu wengi tena wapiga kura ndio mtaji. Wawe vyovyote utakavyowaona wewe, ili mradi wanapiga kura na ni wengi, basi hao ni muhimi sana.Maana unaweza kusema, "Ninakubalika." Sawa, lakini unakubalika na akina nani?
Ni watu wa aina gani wanaokukubali?
Kwa sababu si kila anayekukubali anaelewa hata maana ya kukukubali.
Wengine wanakufuata kwa mazoea, wengine kwa mihemko, na wengine kwa sababu hawajui hata lipi ni sahihi na lipi si sahihi
Unaweza ukawa na kundi kubwa sana la watu, lakini likiwa halina uwezo wa kuhoji wala kuchambua, kweli huo ni mtaji au ni idadi tu?
Watu ambao kazi yao ni kusema, "Ndiyo mzee. (Pr J song ) Ukisema kushoto ni kulia, watasema ni kweli. Ukibadili kesho, nao watabadilika bila hata kukuuliza kwa nini
Binafsi, bora niwe na watu wachache wanaoweza kunichana makavu kuliko kuwa na maelfu wanaoniambia kila siku kuwa niko sahihi
Bora niwe na watu wanaoweza kunisifia hadharani lakini wakinikosoa hata kwa siri
Bora niwe na watu wasioniogope bali waniheshimu(tuheshimiane sio kuogopana)
Watu ambao wakiona nimepotoka, wana ujasiri wa kuniambia
Hapana, hapo umekosea
Kwa sababu watu wanaoshindwa kukukosoa si wote wanakupenda
wengine wanaogopa, wengine wananufaika na makosa yako, na wengine hawana hoja kabisa
Sasa jiulize, unataka watu wanaojenga fikra zako au wanaojenga ego yako?
Wewe mdau, unapendelea kuwa na kundi kubwa lisiloweza kukuchallenge, au watu wachache wenye akili wanaoweza kukubadilisha kwa hoja, kwa maneno na kwa vitendo?
Upo sahihi kua na high self esteemBora uwe na high self esteem.
Uwe na watu wengi ama uwe na watu bora, u wont care.
You will feel self sufficient regardless of whatever situation.
Achana na imagination mkuuTunajua unamsema mkaazi wa kizi
Ukishakuww na high self esteem plus uko positive, basi automatic una attract watu bora maishani mwako.Upo sahihi kua na high self esteem
Na huu ni ndio msingi wa mtu mwenye maarifa
Lakini pia watu wanaweza kukubadili au mazingira yanayokuzunguka
Mi nadhani watu wako wa karibu wana mchango kwa kiasi fulani kwenye maisha yako matendo nk....
Mada yenyewe umeiweka kiimagination, Wacha na sisi tukujibu ki imagination ivoivoAchana na imagination mkuu
Karibu kwenye mada
Sawa asante kaka karibu tenaUkishakuww na high self esteem plus uko positive, basi automatic una attract watu bora maishani mwako.
π π π π βοΈMada yenyewe umeiweka kiimagination, Wacha na sisi tukujibu ki imagination ivoivo
So hapa mchawi hua ni tiki?Kwenye siasa, watu wengi tena wapiga kura ndio mtaji. Wawe vyovyote utakavyowaona wewe, ili mradi wanapiga kura na ni wengi, basi hao ni muhimi sana.
Eehhh watu shaziiBinafsi naona circle iwe kubwa tu kila mtu atakufaa kwa wakati wake na namna yake kikubwa akili kumkichwa.
Sawa vizuri sanaBora kuwa na watu bora siyo bora watu