Watu wazito wananikera

Unadhani bila K baba yako angemuoa mama yako? Unadhani bila K ungezaliwa? Kwa taarifa yako K ni bonge la kiwanda... mtaji ni juhudi zako mwenyewe

Shubaamit!
Aiseee!
Ila ni kweli lakini.
Ila anko "Magu" kazi anayo.
 
Kakuudhi leo sihawahi ona unasema maneno haya, pole babu
Eti jamani kapeace jinsi K ilivo tamu mtu anaikosea heshima hivi hivi? Mi bora nikose ubwabwa kuliko kukosa K. Liwalo na liwe
 
Eti jamani kapeace jinsi K ilivo tamu mtu anaikosea heshima hivi hivi? Mi bora nikose ubwabwa kuliko kukosa K. Liwalo na liwe
Kuna mtu alinambia eti napenda sana hiyo makitu nikamwambia hata Adam na Eva Mungu aliwaumbia hicho
 
Hivi hua hawaja nyonya vya kujtosha au wamenyonya kupita kiasi kiasi kwamba mambo mengine wameyakuta ukubwani!?
 
hahahahah siku ile ulikua na mafua lakini walaaa hukuboa !augue mwingine mafua sasa utadhan ana hOMA YA ZIKA mxiew
Ila inaleta maudhi sana mwanaume anadeka kuzidi mpaka kichefu chefu, yaani nikujifunza watoto wetu tuwalee vizuri jamani sio malezi haya
 
Ni
ahhhhhhhhhhhhhaaaaaaaa ujue nahitaj kujua huwa shida ni nn ?
Ni vitabia mtu amekua navyo toka utoto hayuko independent kwa namna yoyote. Halafu Mbiti huwezi kumpata mtu ambaye mtafanana kila kitu ndg yangu cha msingi ufanye yale anayoshindwa na ww kuna angle fulani huwezi anakusaidia. Maisha yanaendelea
 
Rafiki wazito tena???
Mpeleke Gym
Lakini wengi wa hawa huwa uzembe umewatawala kila idara. Hii ni observation yangu!
 
Oh. Am so sorry sikujua kama hutapenda mchango wangu.siku nyingine uwe unaandika kabisa uzi huu asichangie gudume. We umetala ushauri juu ya watu wazito nami nmeona nikupe ushauri how to handle them
hhhahahha hivi kweli wewe gudume umeamua kunichafulia uzi hivi hivi !nimeghafirika sana na kudhalilika sana aisee !naachia ngazi
 
Mleta MADA uko right wanaojifanya hawakuelewi labda umewagusa,
Mfano,
Tuko kwenye zama za utandawazi mtu anatumia simu yake kujua habari za diamond na wema tu halafu akikutana na mimi ananiuliza
"hivi rate ya dola ni ngapi vile!???"""

"Mara mji mkuu wa PARAGUAY unaitwaje"

Huwa siwajibu muda mwingine,
yaani internet wanatumia aidha kwenye pornographic contents au kwenye umbeya contents,lakini kwenye kujielimisha kidogo wanaona hakuna mpango,

Yaani ni lazma tuchangamke sana la sivyo itakuwa ngumu kupambana na hali zetu.
 
Oh. Am so sorry sikujua kama hutapenda mchango wangu.siku nyingine uwe unaandika kabisa uzi huu asichangie gudume. We umetala ushauri juu ya watu wazito nami nmeona nikupe ushauri how to handle them


teh teh !we haya
 
Rafiki wazito tena???
Mpeleke Gym
Lakini wengi wa hawa huwa uzembe umewatawala kila idara. Hii ni observation yangu!


gym hawez ,yaan dah !ngj niendelee kuangalia ! yaan nashindwa niiwekeje muielewe ingawa wengine wameielewa
 
Hiyo shida mara nyingi huwa inaanzia kwenye malezi..
Umenena vyema stephot.

Ni malezi. Alilelewa kusaidia. Alilelewa akipata shida, baba au mama atakuja kumrescue.

Alilelewa bwana ni mwokozi wa maisha yake, inatakiwa siku zote awe mpole. Hata akionewa, asijibu.

Amelelewa kwamba kuna underlying course kwa kila kitu. Kwa mfano gari limeharibika juzi na mume wake akalipeleka garage. Leo pia limeharibika. Kwa hivyo anamsusia barabarani gari mume kwa sababu hakutengeneza vizuri.

Ni purely malezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…