Watu wazito wananikera

Binadam wanatoafautaina sana .kuna mwingine toka azaliwe hajui kulima hajui kupishana nanyoka vichakani .kuna wanawake wabara wanaendesha baiskesli mwanamke wampani hawezi kabisa .


hata kubadilisha bulb au kutoa vitofari uviarrange seheme huwez wewe? kuokota tofali 1 shida !bas nina mgonjwa mie
 
Ni kuwazoea japo kuna wakati hawazoeleki bila kuwa mkali na kukusisitizia jua hiyo hasara tena kubwa mengi nikisema sasa hapa sisemi heeee utamuona tu yaani leo nimepata hasara ya kutisha naishia kulalama tu


nachoka kapeace wewe !
 
kwan lazima uwe na hosuboy
Kwahiyo unataka niamke asubui nioshegari mwenyewe ?Gari inapancha unataka mpaka nipige jeki nibadili tairi ndo uone mkakamavu ??mm kaziyangu kutafta hela nakukuhudumia kitandani .ukakamavuwangu nikitandani so kugombana nanyoka au navibaka .kama kujihami silaha sizipo ??
 


ahahahah imebidi nicheke tu !naju wewe bado mtoto ngj nikuache !haya maisha sio ya kukariri namna hyo kaka
 
Amekuudhi kweli ila nachofurahishwa unampenda sana basi makwazo yake
 
ahahaahh !mapuuza !hata kunyanyua kamzigo ka kilo 20 anakuambia ah mie siwez bwana !hv huwa ni kamtindio au?
Inaudhi sana unakuta kamshemeji kamejaa ndani sitting room, maji kibao yapo hata kuchukua maji yakuoga no kunuka majasho tu eti m degree huyo
 
Inaudhi sana unakuta kamshemeji kamejaa ndani sitting room, maji kibao yapo hata kuchukua maji yakuoga no kunuka majasho tu eti m degree huyo


hahahah chefu mno aisee
 
ahahaah !aisee !mie ni mzito kujumuika jumuika na watu !huwa sipend sana !
Kukaa vibarazani huku mme yupo ndani mke huko anauliza hivi jirani kapika nini leo maana sijaona kawasha moto
 
Naona uwezo wako wa kufikiri unaenda kufika ukomo. Ikiwa ni kweli hujui sababu ni nini
 
Jamani unajua ni malezi wakati mwingine huko atokako, mie niliishi na shemeji yangu alikuja rikizo basi mpaka raha atafanya hiki ukiamka unamkuta yupo na fagio kama ni maji atakusaidia kujaza, mkienda nunua samaki mkifika tu anakwambia wewe endelea huko jikoni wewe niwekee mifuko nibaki tu ss jirani yangu akiona hivyo anashangaa mpaka mdomo unaota magaga
 
Pole my ni malezi mwingine akiumwa mafua tu ni ugonjwa mpka anaoga maji ya moto, mie hapa ukiona kalala tambua hapo mzee mzima yupo hoi ni dawa kama kawa na kazini yumo mpaka unamuonea huruma pole ni malezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…