watu wazima wa humu wanapenda story za mapenzi cjui kwanii

"watu wazima wa humu wanapenda kuongelea mapenzi"
Ndiyo wanapenda "WATU WAZIMA"
ni haki yao kikatiba.
"WATU WATOTO" Hawapaswi kupenda hili, si haki yao kikatiba.
"MTU WEWE"
si haki yako kikatiba kuwapangia "WATU WAZIMA"chakuongea.
 
"watu wazima wa humu wanapenda kuongelea mapenzi"
Ndiyo wanapenda "WATU WAZIMA"
ni haki yao kikatiba.
"WATU WATOTO" Hawapaswi kupenda hili, si haki yao kikatiba.
"MTU WEWE"
si haki yako kikatiba kuwapangia "WATU WAZIMA"chakuongea.

triple like
 
Huyu mjamaa mleta mada nilishampa mchango wangu! Hapo juu, bt kutokana na headin' yake nimejikuta namrudia kumuongeza maneno kua nahisi kuna siku atakuja kutukataza watu wazima wa humu tusipigane trees! (miti)
 
hv kumbe humu kuna vitoto, heb wawekewe jukwaa lao la cartoon maana inaonekana wanavamia mapenzi mpaka wanaanza kuona wao ndio wanastahili kuchangia issue za maloveee kuliko wahusika. na unaamanisha nn kusema watu wazima, halafu uliwajuaje kuwa ni watu wazima, na ukajuaje kuwa wao ndio wanaopenda mambo hayo,
 
Mie sitarudi. Nimekoma kusutwa, kuonekana adui, akhaaa, wala sitaki mtu tena. Moyo wangu hata haujapona, nije niumizwe tena, wala sitaki.

We ngoja probation iishe utarudi mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…