Ina maana huko ulipotoa taarifa nao walisema bila kueleweka hivyo? Hebu toa taarifa inayoeleweka. Mbaya zaidi unasema "News Alert" ukiwa na maana kuwa una habari kamili. Huku ni kukurupuka.
Bora kova alivyowakamata hao wauaji wa Wanze na Jackline lakini chonde chonde usije ukatuletea kiini macho kama cha Joshua Malundi aliyemteka Ulimboka.