Sakata la kuuwawa wasichana wawili wiki iliyopita watuhumiwa wawili wahusika wamekamatwa.. kwa mwenye taarifa zaidi tufahamishane. Chanzo; EFM radio.
Maeneo ya Kunduchi mtongani DSM,Maswi na Muongo washafanya yao kitambo!!Angalia Star TV... Kova anaelezea
-wanawachukua kama wapenz
-wanakaa nao siku moja au mbili gesti
-then wanawawekea dawa za kulevya kuwaibia na kuwaua
Maswali mengine usiniule mpigie Kamanda Kova..
bora nisingefungua hii post