Watu wawili wakamatwa kwa mauaji ya wasichana wawili .

mpyepye

JF-Expert Member
Nov 27, 2014
251
51
Sakata la kuuwawa wasichana wawili wiki iliyopita watuhumiwa wawili wahusika wamekamatwa.. kwa mwenye taarifa zaidi tufahamishane. Chanzo; EFM radio.
 
Sakata la kuuwawa wasichana wawili wiki iliyopita watuhumiwa wawili wahusika wamekamatwa.. kwa mwenye taarifa zaidi tufahamishane. Chanzo; EFM radio.

Ina maana huko ulipotoa taarifa nao walisema bila kueleweka hivyo? Hebu toa taarifa inayoeleweka. Mbaya zaidi unasema "News Alert" ukiwa na maana kuwa una habari kamili. Huku ni kukurupuka.
 
Angalia Star TV... Kova anaelezea

-wanawachukua kama wapenz

-wanakaa nao siku moja au mbili gesti

-then wanawawekea dawa za kulevya kuwaibia na kuwaua

Maswali mengine usiniulize mpigie Kamanda Kova..
 
Angalia Star TV... Kova anaelezea

-wanawachukua kama wapenz

-wanakaa nao siku moja au mbili gesti

-then wanawawekea dawa za kulevya kuwaibia na kuwaua

Maswali mengine usiniule mpigie Kamanda Kova..
Maeneo ya Kunduchi mtongani DSM,Maswi na Muongo washafanya yao kitambo!!
 
Bora wamekamatwa...kuna watu wanaakili za ajabu sana hata huwez amini ni binadamu anafanya hivyo
 
Bora kova alivyowakamata hao wauaji wa Wanze na Jackline lakini chonde chonde usije ukatuletea kiini macho kama cha Joshua Malundi aliyemteka Ulimboka.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom