Eh so sad wameondoka mwaka mpya. RIPWatu wawili ambao majina yao hayajafahamika mara moja wamefariki dunia baada ya gari aina ya toyota V8 lenye namba za usajili T 405 DGR kupinduka katika kijiji cha Chumbi mkoani Pwani.
Kwa huo mkunjo wa bodi lazima hio gari imepinduka mara kadhaa.Watu wawili ambao majina yao hayajafahamika mara moja wamefariki dunia baada ya gari aina ya toyota V8 lenye namba za usajili T 405 DGR kupinduka katika kijiji cha Chumbi mkoani Pwani.
Toyota hio hata iwe V12.....same handling issues.V8 hua ni ngumu sana kupinduka cjui sababu itakua ni nini?
Dar -- kilwa, wilaya RufijiNi barabara ya kutokea wapi? naamanisha ya Morogoro, Kilwa, Bagamoyo, Kisarawe au wapi huko? maana sijui hicho kijiji cha Chumbi kiko wapi!
Roho za marehemu zipumzike kwa amani[/QUOTE
uwiiiii, ngoja nimpigie ndugu yangu yuko Utete nimjulie haliDar -- kilwa, wilaya Rufiji