Watu wawili wafariki katika ajali ya gari mkoani Pwani

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
Watu wawili ambao majina yao hayajafahamika mara moja wamefariki dunia baada ya gari aina ya toyota V8 lenye namba za usajili T 405 DGR kupinduka katika kijiji cha Chumbi mkoani Pwani.

15822931_1086368201474153_7550394689964879850_n.jpg
 
Ni barabara ya kutokea wapi? naamanisha ya Morogoro, Kilwa, Bagamoyo, Kisarawe au wapi huko? maana sijui hicho kijiji cha Chumbi kiko wapi!
Roho za marehemu zipumzike kwa amani
 
Back
Top Bottom