kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,420
- 13,934
CCM ni chama kikongwe nchini na barani Afrika, CCM wenzake ni KANU, UPC, ANC, n.k kazi yake kubwa ilikuwa kuipatia uhuru Tanzania. Misingi ya CCM imekaa ki ukombozikombozi zaidi kuliko uchumi, hivyo hiki no chama cha wazee zaidi kuliko vijana. Ukiona kijana mwenye miaka chini ya 40 yuko CCM kijana huyo yuko hapo kimaslahi au kwa woga au ni zuzu. Kama nikosea nisameheni bure ila kijana siku zote ni mtu anaependa kujaribu kitu kingine bila kujali matokeo yake,ndiyo maana vijana wengi leo hawapendi miziki ya akina mzee Salimu Abdalah, hawataki taarabu asilia, nk. Mtu kama Mh. Nape, Makamba, Polepole, Gambo, nk nadhani wako huko kwakuwa tu ndio foleni pekee inayosogea wakati zingine zikiwa zimekwama kabisa