Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 1,617
- 3,718
Katika maisha yako.. ukinusa tu dalili za ushenzi wa mtu au kutofautiana lugha na mtu anza kuweka mipaka naye usisubili mpaka mgombane ndo uanze kusema kitambo naku mind bro.. hizo kauli zinakujaga mkisha vutana mashati biblia inasema mtu mwenye akili huona mabaya na kujificha