Watu wangua kicheko msibani

thadei kimambo

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2013
Posts
220
Reaction score
126
Kuna mama mmoja alizaa mtoto na mchina kisha mtoto akafariki baada ya miezi michache.wakiwa msibani wanalia alisikika jirani yake alikuwa anamfariji akisema:-shoga nyamaza si unajua vitu vya kichina hua havidumu!!!@/
 
Hahahha hata mie ningecheka jamani mwee kazii ipo chinese never last ooo

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
dah unamkata makofi mtu akisema hivo
 
Kuna mama mmoja alizaa mtoto na mchina kisha mtoto akafariki baada ya miezi michache.wakiwa msibani wanalia alisikika jirani yake alikuwa anamfariji akisema:-shoga nyamaza si unajua vitu vya kichina hua havidumu!!!@/

Duh!! Ningekuako ustarabu ungenishinda ningepasua kimya kimya Hahahaaaa..!!
 
hahaaaaa...no way i cud nt resist to smile..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…