Darren2019
JF-Expert Member
- Nov 23, 2019
- 1,112
- 2,379
Wale wamarekani mtuache kidogo wakati wakorea tukijadiliana mambo yetu hapa.
Huoni utambulisho mkuu?Huyo kwenye picha ni mkorea pia?
Mwenyekiti wetu ndo huyo anayerekodi video mkuu.Enheee unasemaje mwenyekiti.
Nyie mkalinde vinu vyenu vya nyuklia.Sisi wa Korea Kaskazini tuna comment wapi?
Kweli nipo nyuma ya wakati...sijaelewa huo utambulishoHuoni utambulisho mkuu ?
wadau wengi hawajanisoma, hiyo picha ya JK juzi kwenye mkutano wa ccm, inaonekana Samsung S10 hapo km sijakosea.wanaume wa kikorea tunatumia samsung tu