Labd unatumia tecno,alafu apo apo unakula Rende ,ubahili Ela Bora uwape hao wahuniKila siku Ni angalau unapokea msg moja ya watu(matapeli) wanataka kutumiwa hela kwenye namba zao za simu.Je mamlaka haziwezi kudhibiti Hali hii hata baada ya kusajili line zetu kwa alama za vidole?