Kwanini hawaogopi hii ama haina madhara??.
Wajuvi karibuni.
Nimewaona wengi tuu wanahangaika kupigapicha huku wakiwa karibu kabisa na hii lava.
Je, haiwezi kulipuka ikaleta madhara?.
Ndio imelipuka tayari naulizia kuhusu watu wanao isogelea na kamerazao kuipigapicha.
Kuna watu wamehama ktika meeneo hayo Ila kuna wengine wanaona kama utaliihivi wanaisogelea karibu sana, nimewasikia wengine wanasema waoo it's very beautiful.
Nikashangaa kidogo kwanini hawaogopi nakukaa nayo mbali.
Naomba nikurekebishe kama upo tayar.
Magma ni kimiminika kizito cha moto kinachoweza kulipuka kama volkano bila kifikia uso wa dunia lakini lava ni kile kinachofika ktk uso wa dunia
Iliyobado ndani chini ya ardhi ktk muundo kama uji wa moto ni MAGMA na ikilipuka na kutoka nje ya ardhi na kuanza kutiririka sambamba na moto hiyo ni LARVA.