Watu wanapenda wapenzi wazoefu

Watu wanapenda wapenzi wazoefu

tafiti zisizo na mashiko zimekuwa nyingi sana hapa jukwaani...
 
Mimi nipo mpya kabisa ijapo sidhan kama mwanamke nitashindwa Wakati ukifika kumpa haki yake ipasavyo
 
Utafiti unaonyesha wanawake wengi wanapopata wapenzi wapya wanatamani wawe mtu mwenye kujua maufundi na sio learner au new comer hivyohivyo wanaume wanapenda wanawake wazoefu na sio bikra.sasa sisi tuliojitunza tukioa si tutachapiwa

we inabidi uwe wa mm wote ma learner au nawe hutaki amateur
 
experience matters,huweza kumpa mtu kazi asiye na uzoefu, mpenzi bora ni yule mwenye uzoefu ktk mapenzi zaidi ya miaka 5,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom