Watu wanaoongeza gharama (cha juu)

Watu wanaoongeza gharama (cha juu)

Maleven

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2019
Posts
783
Reaction score
3,665
Nitakuwa naishi maisha ya kujitesa sana, nahisi bado sijajua uhalisia wa maisha. huwa nakua na hasira sana mfano unamtuma ndugu yako au mtu yoyote wa karibu kufata huduma au bidhaa fulani labda kwa kua ww uko busy, lkni unakuja kujua amekutajia bei ambayo sio sahihi sababu tu, yeye sio mtu anaetoa hiyo hela.

moja ya ndugu yangu alinitajia ttzo lililotokea nyumbani akanitajia bei tofauti ya kutatua tatizo, cha ajabu mtoa huduma ananijua akanitafuta akanijuza, nilikasirika sana

Uaminifu imekuwa bidhaa adimu sana kwa kweli.
 
Ata hapa ume andika kwa hasira .hemu tuombe radhi kwa kutukasirikia kwanza

Dark Side
 
Nitakuwa naishi maisha ya kujitesa sana, nahisi bado sijajua uhalisia wa maisha. huwa nakua na hasira sana mfano unamtuma ndugu yako au mtu yoyote wa karibu kufata huduma au bidhaa fulani labda kwa kua ww uko busy, lkni unakuja kujua amekutajia bei ambayo sio sahihi sababu tu, yeye sio mtu anaetoa hiyo hela.

moja ya ndugu yangu alinitajia ttzo lililotokea nyumbani akanitajia bei tofauti ya kutatua tatizo, cha ajabu mtoa huduma ananijua akanitafuta akanijuza, nilikasirika sana

Uaminifu imekuwa bidhaa adimu sana kwa kweli.
Bila shaka walikudalalia mbunye wewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom