Watu wanaongelea reciprocal tarrifs alizopigwa China lakini hawaongelei 0% tarrifs kwa Russia na North Korea ambazo husemekana ni adui mkubwa wa USA

Watu wanaongelea reciprocal tarrifs alizopigwa China lakini hawaongelei 0% tarrifs kwa Russia na North Korea ambazo husemekana ni adui mkubwa wa USA

Teslarati

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2019
Posts
3,185
Reaction score
12,332
Trump kachemka hapa, alijua kabisa moto wa China sio wa kitoto ila bado anaendelea kuupima.
Alijua kwamba endapo angewapiga pia Russia na North korea hizo tarrifs kisha Wote kwa pamoja wakajibu basi USA ingepumulia mashine.

Ili kutimiza tabia yake chafu akaona aanze na china kwanza huku urusi na north korea akiwapa 0%.

Najua mchina aki-cave in tu basi mpira unaamishiwa Urusi na kisha north korea. Maana haiingii akilini hadi Ukraine apigwe tarrifs ila Russia apewe 0%.

Taarifa mbaya ni kwamba mchina nae kakaza, wahuni wanasema ukimwaga mboga hatumwagi ugali, bali tunaondoka nao na kwenda kuomba mboga kwa jirani.
 
Sasa mchina alivyodinda hivi na endapo trump angejichanganya kumgusa mrusi na mkorea kaskazini na wote watatu wakamdindia hivi aisee hio gangbang ya hapo sijui tu ingekuaje.
 
Sasa Korea kaskazini ana nini cha kupeleka marekani?
 
Back
Top Bottom