Mr Pixel3a
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 7,073
- 10,547
Wala mapupu na ngozi wanajiamini kupilitiliza aisee
SanaMpaka yamkute ya kumkuta 👿👿😈😈
That,s it✌️Huko si kujiamini bali ni kutaka kuonekana kuwa naye yumo, watu wanaojiamini wako very calm, ukimuona tu tembea yake, kuongea kwake na hata uendeshaji gari unaona kabisa level ya kujiamini ya mtu huyo...kujiamini na kupenda kujionesha ni vitu tofauti.
ukiona mtu anaendesha kwa kasi barabarani na bila kujali alama za barabarani (sio kwamba huyo anajiamini)...bali ana nyoto ya bodaboda.Kuna baadhi ya kazi mtu akifanya au wazifa fulani mtu akifikia katika maisha huwa wanaojiamini kupitiliza, kuna rafiki yangu kwa sasa ni marehemu huyo rafiki yangu alikua anajiamini kupitiliza.
Ila leo tena nimekutana na ndugu yangu nae ana hizo element za kujiamini kupitiliza.
Nimepanda kwenye gari yake, hizo speed na rafu za barabarani yaani mpaka nikaona hapa nimeweka maisha yangu reheani maana chochote kinaweza kutokea pia gari halitambui cheo wala wazifa wa mtu.
Daaa jamaaa anajiamini kupitiliza mpaka kwenye chombo cha moto.
Imebidi nimdanganye nishuke kwenye gari yake nimuache aende.
Nipo kwenye daladala narudi home mdogo mdogo.
Lete mifano mizuri ya kujiamini. Tofautisha kujiamini ña kuwa rough. Huo mfano wako ni WA mtu kuwa roughKuna baadhi ya kazi mtu akifanya au wazifa fulani mtu akifikia katika maisha huwa wanaojiamini kupitiliza, kuna rafiki yangu kwa sasa ni marehemu huyo rafiki yangu alikua anajiamini kupitiliza.
Ila leo tena nimekutana na ndugu yangu nae ana hizo element za kujiamini kupitiliza.
Nimepanda kwenye gari yake, hizo speed na rafu za barabarani yaani mpaka nikaona hapa nimeweka maisha yangu reheani maana chochote kinaweza kutokea pia gari halitambui cheo wala wazifa wa mtu.
Daaa jamaaa anajiamini kupitiliza mpaka kwenye chombo cha moto.
Imebidi nimdanganye nishuke kwenye gari yake nimuache aende.
Nipo kwenye daladala narudi home mdogo mdogo.
Aiseee, aligonga kwenye mazingira yapi tenaTuliwahi pata ajali pale njia panda maeneo ya jamhuri karibu na kituo cha redio dodoma pale tukiwa kwenye harrier ngoma sita au saba night kali . Sasa pale
jamaa akataka kuunga muda huo tumetoka area d tunaelekea home maeneo ya mbwanga nje ya mji kidogo. Kulikua na kichanja single imebeba container imesimama inasubiri green light ,sasa huyu mshenzi alekuwa anaendesha yuko tungi kapiga magrants af na usingizi juu akataka kuunga. Hamadi ist nyeupe mbele yetu imeiva inakuja uelekeo wetu, jamaa akaona kuliko kuvaana uso kw uso , ikabidi aivae ile kichanja kwa nyuma. Tukapigiza pale kwa nyuma kwenye plate number. Kilichosaidia ile kichanja pale nyuma ilikuwa na kama ina kinga au ngao fulani ya chuma. ile bonet ya harrier ikakita pale , pangekuwa wazi pale nyuma tulikuwa tunapitiliza na kukusanywa kwenye zile tairi tatu za nyuma. Nilikuwa nimekaa siti za nyuma tupo watatu nilibamiza pua kwenye ile siti ya mbele upande wa dereva ila thanks God hakukuwa na seriuz injuries. mshenzi hata kutuongelesha kujua hali zetu hakuna. kilichofuata hapo baada ya wenge kuisha tukakodi bajaji tukaenda home tukamwacha huko nyuma na ma trafic. nasikitika kusema baada ya hili tukio miezi 2 mbele aligonga watu wa nne wa familia moja wa 3 ni rip mmoja amekuwa na kilema cha kudumu.
Mmeruuuu hukuwa na panga uwafanyeMi ndo miongoni mwa wanaojiamini kupitiliza juzi nilimkosa muendesha baiskeli kwasababu anaendesha baiskeli haina taa alafu akaanza kunikoromea nikamfata kutaka kumtandika japokua ni mtu mzima kuliko mimi na nisingemuweza ila alivyoona namfata kwa kujiamini akaanza kuongea sauti ya chini kwa kuingia uoga nikaondoka zangu.
Siyo mara moja kuna siku nilipiga mkwara watu watatu na wakatulia.