Watu wanaoishi mashambani wako salama kwa zaidi ya 75% dhidi ya maambukizi ya corona

kaligopelelo

JF-Expert Member
Jun 20, 2013
2,764
3,940
Habari gani watanzania wenzangu, bila shaka ni wazima wa afya na kwa wale wagonjwa namuomba muumba wa mbingu na ardhi aweze kuwaponya na afya zao zirejee kama awali.

Niingie moja kwa moja kwenye mzizi wa andiko langu kama linavyosomeka kwenye kichwa cha habari hapo juu. Hapa nilipo nipo kijijini inapata miaka kadhaa kwa sasa kutokana na shughuli zangu binafsi za kuhakikisha mkono unaenda kinywani na kuandaa mazingira bora ya kuishi pale ambapo nguvu za kula kwa jasho zitakoniishia.

Nimefikiri kwa kina namna ninavyoishi huku mashambani, kuna wakati nakàa mwezi mmoja mpaka miezi miwili sijafika mjini licha ya kuwa ni umbali wa km 8 tu tokea nilipo na barabara inapitika vizuri kwa gari, pikipiki, baiskeli na hata kwa watembea kwa miguu.

Maisha yasiyokuwa na muingiliano mkubwa na jamii suala la kawaida na hakuna shida zile za chakula badala yake mtu kufika mijini labda iwe ameamua tu aende kutembea.

Hivyo nimetafakari nikaona njia nzuri ya watu kujiweka lockdowns kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa korona no pamoja na kukimbilia mashambani kwa wale waliyonayo.

Kwa kufanya hivyo kunakuweka salama wewe na familia yako lakini pia unapata nafasi ya kufanya kazi za shambani. Pia upatikanaji wa vyakula sio tatizo unaweza ukajipatia kitoweo kwa kuwinda ndege pia.

Na kwa wale ambao wapo vijijini wakipatia elimu ya kutosha, bila Shaka mazingira yanawabeba kutokana na kutokuwa na msongamano wa watu. Ila katika maeneo ambayo ugonjwa huu ukifika huko watakufa watu wengi Sana kutokana mfumo wa maisha ya kijamaa wanaoishi. Hivyo serikali isielekeze nguvu zaidi katika kutoa elimu kwa watu wa mijini tu, elimu inatakiwa iwafikie na walioko vijijini pia kwa sababu vijijini wanapokea wageni wengi kutoka mijini ambao wanakimbia huu ugonjwa.

Kwa kumalizia nawaomba watanzania wenzangu wazidishe maombi na kuacha kuleta mzaha kwenye gonjwa hili ambalo mpaka sasa limeghalimu maisha ya watu wengi sana ulimwenguni kote. Tupunguze hofe badala yake tuzishe tahadhari.

Ahsanteni sana.
 
Habari gani watanzania wenzangu,bila Shaka ni wazima wa afya na kwa wale wagonjwa namuomba muumba wa mbingu na ardhi aweze kuwaponya na afya zao zirejee Kama awali.

Niingie moja kwa moja kwenye mzizi wa andiko langu Kama linavyosomeka kwenye kichwa cha habari hapo juu. Hapa nilipo nipo kijijini inapata miaka kadhaa kwa sasa kutokana na shughuli zangu binafsi za kuhakikisha mkono unaenda kinywani na kuandaa mazingira bora ya kuishi pale ambapo nguvu za kula kwa jasho zitakoniishia. Nimefikiri kwa kina namna ninavyoishi huku mashambani,Kuna wakati nakàa mwezi mmoja mpaka miezi miwili sijafika mjini licha ya kuwa ni umbali wa km 8 tu tokea nilipo na barabara inapitika vizuri kwa gari, pikipiki, baiskel na hata kwa watembea kwa miguu.

Maisha yasiyokuwa na muingiliano mkubwa na jamii suala la kawaida na hakuna shida zile za chakula badala yake mtu kufika mijini labda iwe ameamua tu aende kutembea.

Hivyo nimetafakari nikaona njia nzuri ya watu kujiweka lockdowns kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa korona no pamoja na kukimbilia mashambani kwa wale waliyonayo.

Kwa kufanya hivyo kunakuweka salama wewe na familia yako lakini pia unapata nafasi ya kufanya kazi za shambani. Pia upatikanaji wa vyakula sio tatizo unaweza ukajipatia kitoweo kwa kuwinda ndege pia.

Na kwa wale ambao wapo vijijini wakipatia elimu ya kutosha, bila Shaka mazingira yanawabeba kutokana na kutokuwa na msongamano wa watu. Ila katika maeneo ambayo ugonjwa huu ukifika huko watakufa watu wengi Sana kutokana mfumo wa maisha ya kijamaa wanaoishi. Hivyo serikali isielekeze nguvu zaidi katika kutoa elimu kwa watu wa mijini tu, elimu inatakiwa iwafikie na walioko vijijini pia kwa sababu vijijini wanapokea wageni wengi kutoka mijini ambao wanakimbia huu ugonjwa.

Kwa kumalizia nawaomba watanzania wenzangu wazidishe maombi na kuacha kuleta mzaha kwenye gonjwa hili ambalo mpaka sasa limeghalimu maisha ya watu wengi sana ulimwenguni kote. Tupunguze hofe badala yake tuzishe tahadhari.

Ahsanteni Sana.
Sema kijiji, kata na wilaya iliyopo tukufuate, maana umeshaivisha mazao sisi tukija tuwnze kulima hadi mazao kuiva inagharimu miezi 4 hivi
 
Habari gani watanzania wenzangu, bila shaka ni wazima wa afya na kwa wale wagonjwa namuomba muumba wa mbingu na ardhi aweze kuwaponya na afya zao zirejee kama awali.

Niingie moja kwa moja kwenye mzizi wa andiko langu kama linavyosomeka kwenye kichwa cha habari hapo juu. Hapa nilipo nipo kijijini inapata miaka kadhaa kwa sasa kutokana na shughuli zangu binafsi za kuhakikisha mkono unaenda kinywani na kuandaa mazingira bora ya kuishi pale ambapo nguvu za kula kwa jasho zitakoniishia.

Nimefikiri kwa kina namna ninavyoishi huku mashambani, kuna wakati nakàa mwezi mmoja mpaka miezi miwili sijafika mjini licha ya kuwa ni umbali wa km 8 tu tokea nilipo na barabara inapitika vizuri kwa gari, pikipiki, baiskeli na hata kwa watembea kwa miguu.

Maisha yasiyokuwa na muingiliano mkubwa na jamii suala la kawaida na hakuna shida zile za chakula badala yake mtu kufika mijini labda iwe ameamua tu aende kutembea.

Hivyo nimetafakari nikaona njia nzuri ya watu kujiweka lockdowns kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa korona no pamoja na kukimbilia mashambani kwa wale waliyonayo.

Kwa kufanya hivyo kunakuweka salama wewe na familia yako lakini pia unapata nafasi ya kufanya kazi za shambani. Pia upatikanaji wa vyakula sio tatizo unaweza ukajipatia kitoweo kwa kuwinda ndege pia.

Na kwa wale ambao wapo vijijini wakipatia elimu ya kutosha, bila Shaka mazingira yanawabeba kutokana na kutokuwa na msongamano wa watu. Ila katika maeneo ambayo ugonjwa huu ukifika huko watakufa watu wengi Sana kutokana mfumo wa maisha ya kijamaa wanaoishi. Hivyo serikali isielekeze nguvu zaidi katika kutoa elimu kwa watu wa mijini tu, elimu inatakiwa iwafikie na walioko vijijini pia kwa sababu vijijini wanapokea wageni wengi kutoka mijini ambao wanakimbia huu ugonjwa.

Kwa kumalizia nawaomba watanzania wenzangu wazidishe maombi na kuacha kuleta mzaha kwenye gonjwa hili ambalo mpaka sasa limeghalimu maisha ya watu wengi sana ulimwenguni kote. Tupunguze hofe badala yake tuzishe tahadhari.

Ahsanteni sana.
Sawa
 
Back
Top Bottom