Watu wanalipwaje na google play store through app

Watu wanalipwaje na google play store through app

Mjasiriamali1

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2009
Posts
891
Reaction score
240
Naomba msaada hapo wadau? ni kweli google store wanalipa watu ukiwa na downloader wengi katika app yako?
 
Wanapokea pesa walizo uza App, au vitu.
 
Google play store haiwalipi wenye app, Ila wenye app wanapata pesa baada ya kuuza hizo app zao kupitia google play store.
 
naomba msaaada hapo wadau? ni kweli google store wanalipa watu ukiwa na downloader wengi katika app yako?
ile ni app market tu yaani ni soko la program za android kwahiyo playstore haimlipi mtu kwa kuweka apps zake sokoni ila inamchaji 25$(kodi ya soko) maramoja tu pale unapojisajili
swali lako ni kama kuuliza "hivi soko la kariakoo linalipa wale wafanyabiashara walioweka bidhaa zao pale sokoni"?
 
mfano mtamu sana
 
Back
Top Bottom