mkaruka ataja rinu
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 3,562
- 2,493
keh keh keh, safari hii za buku buku ni za kumwaga...!!!Kidumu au kidume? Juzi nimekutana na sistadu moja aliyeondoka kijijini miaka 12 iliyopita baada ya kupata buzi dar, anafanya uchuuzi wa vitenge na kanga na anataka kurudi kijijini, nimemuuliza kulikoni kasema jamaa mkorofi wakati najua jamaa mirija imebuma. Nilimwahidi nitampa heka mbili za kulima viazi, ili apauke vizuri na vijana wa poti wamzukie na kumwoa. Kazi tu hapa, vi appartment, harrier, ist nk sasa hivi hakuna wahongaji, akitaka bia ni mtindo wa bingwa,mzinga wa konyagi au balimi tu, akitaka henken/windhoek apuyange zake huko.
Kiongozi wa kaya alisema mpaka ikifika mwezi wa sita upo mjini Basi huondoki tenaView attachment 511953
Binafsi nina ndugu zangu watatu ambao wameamua kurudi nyumbani baada
ya Maisha ya Dar kuwashinda, sio Jambo la kushangaza lakini tatzo safari hii
imekuwa too much Ukiacha hao kuna watu kadhaa ambao waliadimika kwa
miaka mingi nao wanarejea nyumbani mbaya zaidi wengine wamekuwa wakifanya
fujo kugombea mashamba na mali nyingine za urithi ambazo hapo mwanzo
hawakuwa na mpango nazo. Kunani Dar kwanini watu wanalikimbia jiji?
Karibu mkuu, sasa hivi nipo hapa kiabakari, baadae majita.Ahhaa kumbe uko mara mkoa wangu huo daah...
Nibora nyumban Kwan kuna baadhi ya vitu unavipata hata bure tu lakin dsm teh kipi cha bure ndg.
Umejaribu kuwaulizia ndugu zako waliorudi? Maana raia wengi wanaingia tu mjini kama kawaView attachment 511953
Binafsi nina ndugu zangu watatu ambao wameamua kurudi nyumbani baada
ya Maisha ya Dar kuwashinda, sio Jambo la kushangaza lakini tatzo safari hii
imekuwa too much Ukiacha hao kuna watu kadhaa ambao waliadimika kwa
miaka mingi nao wanarejea nyumbani mbaya zaidi wengine wamekuwa wakifanya
fujo kugombea mashamba na mali nyingine za urithi ambazo hapo mwanzo
hawakuwa na mpango nazo. Kunani Dar kwanini watu wanalikimbia jiji?
Kama kuhamia DOM.View attachment 511953

Sasa wanahama au wanarudi walikotoka?
Wameamua kutii kauli ya mkuu wa nchi bana ,maana alisema kuwa mpaka mwezi wa saba atakae endelea kuishi dar ni mwanaume wa shokaView attachment 511953
Binafsi nina ndugu zangu watatu ambao wameamua kurudi nyumbani baada
ya Maisha ya Dar kuwashinda, sio Jambo la kushangaza lakini tatzo safari hii
imekuwa too much Ukiacha hao kuna watu kadhaa ambao waliadimika kwa
miaka mingi nao wanarejea nyumbani mbaya zaidi wengine wamekuwa wakifanya
fujo kugombea mashamba na mali nyingine za urithi ambazo hapo mwanzo
hawakuwa na mpango nazo. Kunani Dar kwanini watu wanalikimbia jiji?
Kwani hujui mkuu ?Kuna agizo linawataka watu kuhama Dar?
Dateline ya magu imefika only the strongest will survive in Dar