Watu wanahama Dar si mchezo, kuna nini huko?

GAZETI

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
5,292
Reaction score
6,772


Binafsi nina ndugu zangu watatu ambao wameamua kurudi nyumbani baada
ya Maisha ya Dar kuwashinda, sio Jambo la kushangaza lakini tatzo safari hii
imekuwa too much Ukiacha hao kuna watu kadhaa ambao waliadimika kwa
miaka mingi nao wanarejea nyumbani mbaya zaidi wengine wamekuwa wakifanya
fujo kugombea mashamba na mali nyingine za urithi ambazo hapo mwanzo
hawakuwa na mpango nazo. Kunani Dar kwanini watu wanalikimbia jiji?
 
Picha ulioweka kuvutia habar yako ni ya wakimbizi,ivo habar yako ni uongo mtupu
 
Akija Vila anaweza spend some money kwa kupunguza matumiz ya kununua vitu baadhi visivyo vya lazma mkuu
 
Picha ulioweka kuvutia habar yako ni ya wakimbizi,ivo habar yako ni uongo mtupu
Sawa picha ni ya wakimbizi ambayo imepamba tu kuonyesha tendo la kuhama
ndio maana sijasema kuwa hawa wanatoka Dar kwenda sehemu fulani.
 
...acha mboyoyo wewe,
..Dar watu wanasebenza tu kama zamani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…