Watu wana faranga bhana

Unafikiria hata chai una unga halafu unakuja kusika billion kadhaaπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…, kujihusisha na hayo mambo ni kujitafutia matatizo ya akili tu
Inasikitisha sana mkuu, pesa zetu hizo
 
INAKATISHA TAMAA WALE AMBAO TUNATAFUTA KWA JASHO, KWA UDI NA UVUMBA LAKINI ATA KUIONA LAKI NI MAJALIWA. ILA WENZETU BILA ATA JASHO WANAMKARIBIA TRUMP.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…