Watu wamedata !!!

Sikupiga picha manake nimestuka mixer kushangaa kuona mtu kalala chali vile barabarani mkono upo ndani ya suruali huku kafumba macho πŸ˜‚

Sijui kichaa yule
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nimechekaa km chizi vilee. Lol
 
Pale kati kati ya kituo cha msimbazi A na B yupo jamaa alikua akimaliza misele yake anaenda pale anakiwasha weeee wakaja(ga) kumtimua
Aisee leo Nilikuwa maeneo hayo kwa Mawinga wa simu Nilikuwa nabadilisha protector 🀣🀣🀣

Pale kwenye mgahawa wanapika vitu yummy yummy πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹

Kuna dogo anaitwa Maboko hapo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…