Driz memes
Member
- Apr 4, 2022
- 11
- 20
Driz memeswakuuuu habarini sana..... ..... ..... ......
lengo la uzi huu ni kuwataja watu waliozidi kwa chai humu. kama tujuavyo mitandaoni ni sehemu ambayo watu mbalimbali hukutana kutoka sehem tofauti tofauti na kati ya watu hao kila mmoja ana hulka yake binafsi kama uongo, ujinga, usiriaz, uchekeshaji n.k...................!!!
binafsi kwa mimi humu jf nimepitia baadhi ya nyuzi humu za waandishi mbalimbali nikagundua kua watu ni waongo kama mpwayungu village jamaa amezidi uongo, nyuzi zake zote ni uongo mtupu
pia kuna ule wa kula kimasihara, mule watu ni waongo sana, kama ni kwel wanayoyaandika basi mbinguni hawatoenda,
kama unamjua yoyote aliezid uongo humu embu mshushe hapo chini tumjue
Wasalaaam wapendwa..................!!!!!!
naam kaka
ana patikana jukwaa ganiSky eclat ana stori za uongo japo zina mafunzo
kama naniWanasiasa wote walioko humu
amezidi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][mention]bubuji [/mention] bubuji ni muongo mpaka mda mwengine anaweza sema ukweli tukajua uongo
Si wanajulikana!!kama nani
mpwayungu village, vinginevyo amalizie safari ya lindi.wakuuuu habarini sana..... ..... ..... ......
lengo la uzi huu ni kuwataja watu waliozidi kwa chai humu. kama tujuavyo mitandaoni ni sehemu ambayo watu mbalimbali hukutana kutoka sehem tofauti tofauti na kati ya watu hao kila mmoja ana hulka yake binafsi kama uongo, ujinga, usiriaz, uchekeshaji n.k...................!!!
binafsi kwa mimi humu jf nimepitia baadhi ya nyuzi humu za waandishi mbalimbali nikagundua kua watu ni waongo kama mpwayungu village jamaa amezidi uongo, nyuzi zake zote ni uongo mtupu
pia kuna ule wa kula kimasihara, mule watu ni waongo sana, kama ni kwel wanayoyaandika basi mbinguni hawatoenda,
kama unamjua yoyote aliezid uongo humu embu mshushe hapo chini tumjue
Wasalaaam wapendwa..................!!!!!!
@Mkulungwa01 na mpwayungu village ndugu hawa [emoji28]Mkulungwa01 huyu ndo komesha....
Leo ataelezea vile anavoteseka chuoni, kesho atawaambia mkewe kamgonga korodani, keshokutwa atasema ni meneja wa kampuni X na mshahara wake ni milion kadhaa....
Salute sana kwake... Mkulungwa01
Wewe mwenyewewakuuuu habarini sana..... ..... ..... ......
lengo la uzi huu ni kuwataja watu waliozidi kwa chai humu. kama tujuavyo mitandaoni ni sehemu ambayo watu mbalimbali hukutana kutoka sehem tofauti tofauti na kati ya watu hao kila mmoja ana hulka yake binafsi kama uongo, ujinga, usiriaz, uchekeshaji n.k...................!!!
binafsi kwa mimi humu jf nimepitia baadhi ya nyuzi humu za waandishi mbalimbali nikagundua kua watu ni waongo kama mpwayungu village jamaa amezidi uongo, nyuzi zake zote ni uongo mtupu
pia kuna ule wa kula kimasihara, mule watu ni waongo sana, kama ni kwel wanayoyaandika basi mbinguni hawatoenda,
kama unamjua yoyote aliezid uongo humu embu mshushe hapo chini tumjue
Wasalaaam wapendwa..................!!!!!!
Hahahaaa! Safari ya Lindi alisusa kuimalizia!mpwayungu village, vinginevyo amalizie safari ya lindi.
Huyu kamaliza degree zote. Sijui tuseme Ana PhDHivi kidukulilo yupogo wapi