Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,814
Mbowe alikwanguliwa wapi na risasi!Kwenye tukio la kinondoni lililomtoa uhai mtoto mpendwa Akwilina, pia Mbowe na Mnyika waliponea chupuchupu.
Acha uongo, viongozi wa chadema walitimua mbio mapeema hata milio ya risasi hawakuisikia!!!.Kwenye tukio la kinondoni lililomtoa uhai mtoto mpendwa Akwilina, pia Mbowe na Mnyika waliponea chupuchupu.
Mbowe alikwanguliwa wapi na risasi!
hahahhhAcha uongo, viongozi wa chadema walitimua mbio mapeema hata milio ya risasi hawakuisikia!!!.
Acha uongo, viongozi wa chadema walitimua mbio mapeema hata milio ya risasi hawakuisikia!!!.
Kama sio kuleta mahaba kwenye fact ni nini?Kwenye tukio la kinondoni lililomtoa uhai mtoto mpendwa Akwilina, pia Mbowe na Mnyika waliponea chupuchupu.
Kukwanguliwa na risasi sio mchezo...
Huyo jamaa ana nyota ya kipanga..
Waswahili tunasema Kaaga Kwao.Kukwanguliwa na risasi sio mchezo...
Huyo jamaa ana nyota ya kipanga..
Anaonekana ana maisha marefu...Waswahili tunasema Kaaga Kwao.
Mbowe alikwanguliwa wapi na risasi!
Duh na tundu lisu na yeye atwambie siriAnanyota ya TUNDU LISU.
Kukwanguliwa na risasi sio mchezo...
Huyo jamaa ana nyota ya kipanga..
Hata mimi aisee. Kwanza ningeenda kuomba misa ya shukrani nikitoka hapo ningekunywaaa mpaka mwili useme basi.Anaonekana ana maisha marefu...
Ingekuwa ni mimi sasa hivi ningekuwa namalizia kreti ya 7 ya bia ya kujipongeza
Hata Kwa Msisi ungeweza kufika.Hata mimi aisee. Kwanza ningeenda kuomba misa ya shukrani nikitoka hapo ningekunywaaa mpaka mwili useme basi.
Tumia busara. Sema ungekua unashinda kanisani/masjid kwa siku saba ningekuelewa. Usevu halafu umpelekee shetani ???Anaonekana ana maisha marefu...
Ingekuwa ni mimi sasa hivi ningekuwa namalizia kreti ya 7 ya bia ya kujipongeza
Nani alikwambia pombe ni shetani??Tumia busara. Sema ungekua unashinda kanisani/masjid kwa siku saba ningekuelewa. Usevu halafu umpelekee shetani ???