Watu wala watu

Inabidi tuwalete hao watu wala watu waje wa wale hawa Jamaa zetu wa buku---- humu jf hehehe

Ova
 
mbona mada zako nyingi ni vitu vya ajabu ajabu sana

mara mambo yakufa leo umekuja na mpya tena la kula watu keho nadhani utakuja na ya kuzimu

plz try kuchange your mada hizi haziko rafiki sana
 
mbona mada zako nyingi ni vitu vya ajabu ajabu sana

mara mambo yakufa leo umekuja na mpya tena la kula watu keho nadhani utakuja na ya kuzimu

plz try kuchange your mada hizi haziko rafiki sana
Mmh naamini kabisa hujui dhima ya JF na majukwaa yake
 
Dah! Wapi huko mkuu. Yaonesha huko watu wanene ni mali saana, Je, wanawaua ka ngedere au wanangojea kitu inayopelekwa morg?? Wasije tu huku kwetu, nadhani hayo marambo ya kule Kawe yasingeli onekana. Swali la kizushi tu mshana jr, hivyo vichwa huwekwa kwa ajili ya kupigia mahesabu kuwa mwaka huu tumekula wangapi au vina bei zaidi?? Je, wakikosa mlo si wataraukiana wenyewe??
 
USHAURI MUHIMU! usijaribu kula nyama ya mtu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…