DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,129
Katika hali ya isiyo ya kawaida watu Mamia ya watu wameonekana wakizoa Sukari iliyomwagika barabarani baada ya kutokea ajali Katika eneo la Lugono_ Melela barabara ya Morogoro-Iringa Leo Juni 12 ,2025.
Ajali hiyo imehusisha Lori la Mizigo lililobeba Shehena ya Sukari Lenye namba za usajili T.406 CZS na Basi kampuni ya Hai Lenye NBA za usajili T 523 EKM lililokuwa linatokea Mbeya kwenda Dar es salama.
Ajali hiyo imeua watu Tisa ambapo kamanda wa Jeshi la.polisi SACP.alex Mkama amethibitisha kutokea na kwamba wanamsaka dereva wa Lori aliyesababisha ajali hiyo.
source: Millard Ayo