Watu waki-relax kidogo.

Kama ni binadamu kama sisi, wamezaliwa na kulelewa katika mazingira yale yale kama sisi wanywaji wengine nini cha ajabu hapo?
Waache wanywe, hata wakiulizia njia ya kutokea Nshamba kwenda Katerero ni poa tu maana kila mtu anataka kufika katerero ikibidi hadi Ngono na Rushwa
 
Hakuna cha kutisha ..maana kanisa limeruhusu ila isiwe nyingi kupitiliza maana ndio itakupelekea kwa dhambi ..ila hao masister wa chini km watu wa tarbani vile[emoji23]
Guilty conscious or what? Muanzisha mada ameweka picha na heading inasema 'WATU WAKI - RELAX KIDOGO' nothing else, lakini mmepatikana wa kujibu swali ambalo halijaulizwa.

Ingekuwa watu hawa wamepigwa picha wanakula UGALI MKAVU na SODA, ungesema KANISA BLAH BLAH BLAH?

Tusitekenyeke kirahisi rahisi hata kabla mkono haujafika mbavuni. Pombe tunywe kwa raha zetu, haya ya Kanisa ni kutojiamini. Hakuna maandiko yenye uhusiano na Kanisa yenye kuharamisha beer.
 
Naam imeandikwa, wapeni pombe masikini, wanywe wasahau shida zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…